staa wa muziki wa bongoflava @ Rajabu Ibrahim ambaye ni maarufu kwa jina la Harmonize / Konde Boy ambaye ni muanzilishi na mmiliki wa Lebo Mpya ya Muziki inayofahamika kama KONDEGANG MUSIC LABEL WORLDWIDE....
Amepost muonekan wa cover ya nyimbo mpya ya msanii wake wa kwanza kutambulishwa katika Label hiyo mpya.....

Kwa mujibu wa harmonize amedai kuwa nyimbo hiyo itakuwa hewani majira ya saa 3:00 asubuhi ......

Na nyimbo hiyo imetengenezwa na 
producer kimambo 


Jiandae kupakua nyimbo hiyo kupitia