Bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA pamoja na OFISI YA RAIS wameungana kwa pamoja kumlilia aliyekuwa mbunge na pia mchungaji mkuu wa makanisa ya MLIMA WA MOTO mama GETRUDE RWAKATALE......


   Katika kuonyesha kuwa wamesikitika kumpoteza Mama Rwakatale ofisi ya Bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA pamoja na ofisi ya rais wameandika barua tofauti  kwenda kwa ndugu, jamaa na rafiki wa karibu wa marehemu kuonyesha huzuni yao...... 


BARUA ILIYOANDIKWA NA BUNGE KUMLILIA MBUNGE MWENZAO


BARUA ILIYOANDIKWA NA OFISI YA RAIS WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA