Dawa aina ya Redesivir iliyotumika kutibu ugonjwa wa EBOLA 
ipo tayari kufanyiwa majaribio kwa ajili ya kutumika kama chanjo ya ugonjwa hatari wa COVID 19...

DAWA hiyo ilitumika kutibu ugonjwa wa ebola katika miaka kadhaa nyuma iliyopita ...
Huenda ikafanikisha kupunguza tatizo la ugonjwa wa CORONA.....

Watafiti kutoka shirika la afya la duniani
 @ [ WHO ] WORLD HEALTH ORGANIZATION wamesema endapo itathibitishwa kuwa dawa hiyo inaweza kutibu tatizo hilo itaanza kutumika rasmi kama chanjo ya ugonjwa wa COVID 19

WATCH  VIDEO DOWN