stendi kuu ya mabasi yanayofanya safari za mikoani MSAMVU BUS TERMINAL
Imeteketea kwa moto leo usiku wa kuamkia jumapili ya tarehe 31/5/2020
Chanzo cha moto huo kikitajwa kuwa ni
Shoti ya umeme
PLAY VIDEO HAPO CHINI KUTAZAMA
PAKUA NYIMBO MPYA ZOTE KWA URAHISI
BOFYA HAPO 👉👉 DOWNLOAD
0 Comments